• BUNGE LA TANZANIA 1
  • BUNGE LA TANZANIA 2
  • BUNGE LA TANZANIA 3
  • BUNGE LA TANZANIA 4

BUNGE LA TANZANIA

Aplikesheni hii ilitengezwa kwa kusudi la kukuletea taarifa kutoka kwenye tovuti ya bunge (www.bunge.go.tz) na kuzileta katika mwonekano wa simu za mkononi. Matumizi ya aplikesheni hii yanasaidia watumiaji kutazama taarifa za bunge la Tanzania katika hali iliyobora na ya haraka zaidi hata mtandao unapokuwa hafifu.

Aplikesheni hii ilitengezwa ili kuleta ubora katika upatikanaji wa taarifa za bunge la Tanzania kwa kutumia kiwango kidogo sana cha mtandao wa intaneti. Aplikesheni hii pia imetengezwa kusaidia hata wakati ambapo mtumiaji hana mtandao bado anaweza kuona badhii ya taarifa ambazo alikwishawahi kuzipitia wakati akiwa na mtandao.

Questa applicazione è stata progettata appositamente per recuperare le informazioni dal sito Web del parlamento e visualizzare il contenuto ai client di telefonia mobile. L'uso dell'applicazione aiuta gli utenti a visualizzare tutte le informazioni sul parlamento della Tanzania in modo ottimizzato.

L'applicazione è progettata per migliorare le prestazioni e aiutare i client di telefonia mobile a consumare dati ragionevoli per vedere il contenuto. L'applicazione è inoltre progettata per funzionare anche quando l'accesso a Internet è basso. Inoltre, l'applicazione archivia i dati necessari in modalità offline quando il client non ha dati o l'accesso a Internet può ancora vedere i dati memorizzati.

Categoria : Comunicazione

Ricerche associate